Nakubaliana na alichokisema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania dhidi ya Wahaya na Mkoa wao wa Kagera ( Bukoba )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Haiwezekani Mkoa wenye Watu Wasomi na Walioelimika kwa kuwa na Watu wenye Degrees, Masters na Doctorates wa Kagera kuna Uvunjifu wa Amani unaotokana na Wivu wa Mapenzi, Migogoro ya Ardhi na Ushirikina. Ni Aibu sana Kwakweli na lazima Ukweli huu usemwe na wenye Mkoa wabadilike na Elimu Kubwa iendelee Kutolewa kwa Wananchi" amesema Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania CP Faustine Shilogile.

Chanzo: Radio One Nipashe leo.

Ni Mkoa Mmoja tu Tanzania nzima hiwezi Kukuta Upuuzi kama huu na ulio na Ushamba mwingi kama ulioko Mkoani Kagera ambao ni Mkoa Uliobarikiwa, wenye Watu makini, Wakarimu, Wasomi hasa na Wastaarabu wa Mara ( Musoma )

CP Shilogile tafadhali Ukimaliza a na Wahaya kwa Kuwaelimisha nenda pia kwa hawa Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakara, Wakerewe na Wanyamwezi nao ukawabadili kwani wana shida hiyo hiyo kama ya kwa Wahaya.

Waje wajifunze Ustaarabu Mkoani Mara.
 
mkoa wa mara kuna wakuriya wameelimika sanaaaaaaaaaa
 
Mara,? una matatizo weye.
 
Instanbul ukuje huku
 
Back
Top Bottom