Katika moja ya mahojiano na kituo cha tv Malema amesema sio busara kumfunga Jacob Zuma katika jela ya umma ukizingatia umri wake wa miaka 73, angeweza kutumikia kifungo cha nje akiwa nyumbani kwake "under house arrest" nimeona hii busara.
Na sie kwanini tusiweke sheria mtu akifikisha umri wa miaka 75 asihukumiwe kwenda jela na ikibidi basi afungwe jela ya nje, na walioko magerezani akifikisha umri huo basi aachiwe.
Na sie kwanini tusiweke sheria mtu akifikisha umri wa miaka 75 asihukumiwe kwenda jela na ikibidi basi afungwe jela ya nje, na walioko magerezani akifikisha umri huo basi aachiwe.