Ya kwetukatiba yao hiyo, yetu inasemaje?
Ya kwetukatiba yao hiyo, yetu inasemaje?
imeisha hiyo 😆😆Ya kwetu
Mfungwa hachagui jela
Kwa taarifa yako Malema ni mtoto wa Zuma kisiasa. Maana yake Malema ni member wa ANC. Fuatilia historia ya Malema na Zuma ndani ya ANC. Kauli hiyo ina maana kubwa sana.Katika moja ya mahojiano na kituo cha tv Malema amesema sio busara kumfunga Jacob Zuma katika jela ya umma ukizingatia umri wake wa miaka 73, angeweza kutumikia kifungo cha nje akiwa nyumbani kwake "under house arrest" nimeona hii busara.
Na sie kwanini tusiweke sheria mtu akifikisha umri wa miaka 75 asihukumiwe kwenda jela na ikibidi basi afungwe jela ya nje, na walioko magerezani akifikisha umri huo basi aachiwe.
Sikubaliani na yeye kabisaa maana alipokuwa madarakani yeye Malema ndio aliyekuwa anapaza sauti mast go jail sasa leo imekuwaje tena asiwekwe jela? ndio najipambanua kuwa yeye ni mwana mapinduzi? wanasisia kwakweli niwakuangalia kwa macho zaidi ya mawili.Katika moja ya mahojiano na kituo cha tv Malema amesema sio busara kumfunga Jacob Zuma katika jela ya umma ukizingatia umri wake wa miaka 73, angeweza kutumikia kifungo cha nje akiwa nyumbani kwake "under house arrest" nimeona hii busara.
Na sie kwanini tusiweke sheria mtu akifikisha umri wa miaka 75 asihukumiwe kwenda jela na ikibidi basi afungwe jela ya nje, na walioko magerezani akifikisha umri huo basi aachiwe.
Malema hajulikani anataka nini. Leo anasema hivi akiona kitu kimefanyika kama alivyosema anapinga anasema hivi. Yani ili mradi tu apinge pingeSikubaliani na yeye kabisaa maana alipokuwa madarakani yeye Malema ndio aliyekuwa anapaza sauti mast go jail sasa leo imekuwaje tena asiwekwe jela? ndio najipambanua kuwa yeye ni mwana mapinduzi? wanasisia kwakweli niwakuangalia kwa macho zaidi ya mawili.
Na yeye amakashfa ya kutumia pesa vibaya za Bank alichukuwa mkopo mkubwa pamoja na wana familia yake wapo saizi kumchunguza ikiibuka hiyo atajuata na ndio utakuwa mwisho wake mjinga huyo. kuna yuel jamaa Dk Ndlozi alisha hojiwa kuhusu hilo lakini katoka smart sasa wanamfwatilia Malema.Malema hajulikani anataka nini. Leo anasema hivi akiona kitu kimefanyika kama alivyosema anapinga anasema hivi. Yani ili mradi tu apinge pinge
Wote ma opportunist wanaojificha nyuma ya siasaNa yeye amakashfa ya kutumia pesa vibaya za Bank alichukuwa mkopo mkubwa pamoja na wana familia yake wapo saizi kumchunguza ikiibuka hiyo atajuata na ndio utakuwa mwisho wake mjinga huyo. kuna yuel jamaa Dk Ndlozi alisha hojiwa kuhusu hilo lakini katoka smart sasa wanamfwatilia Malema.
KabisaWote ma opportunist wanaojificha nyuma ya siasa