Nakubaliana na mbunge Mnyeti, akateteme kwao huko kunakoibiwa madini

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
 
Wivu wa kijinga utakuua
 
Manara kila ujinga wa yanga yeye anatetea tu.
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Mnyeti na nyeti na mleta mada wote Mazi ga nyanza
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Huyu mwanasiasa alionyesha udhaifu mkubwa kwa kauli yake hiyo
 
Acha kusapoti ujinga.Hizo ni chuki zakijinga zisizo na sababu.
 
Alikuwa na point lakini tatizo ni kuutumia mfano wa Mayele. Pengine angetolea mfano wa wanamuziki wa Congo, angepata uungwaji wa mkono. Ukifikiria kwa undani, kuna ukweli fulani. Raia wanaume wa Ukraine wengi waliamua kujitolea kuipigania nchi yao, na hao wote wangeweza kukimbia na kuwaachia EU ipeleke majeshi yake
 
George Mpole
George Mpole
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Huyo Mnyeti kajidhalilisha kwa kauli ya hovyo kama hiyo
 
Ninachofurahi zaidi ni kwamba INONGA naye anaibiwa MADINI huko kwao Congo.
 
Sultan Makenga kijana wa kitutsiwa M23 anapeleka moto kwa wacongo.vijana wa kicongo kazi kutetema na kujichubua tu.
Kukata viuno salamander ndo wanajua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Kweli mapunguani hawaishi ktk ardhi hii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…