Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mara kwa mara nikikutana nao baa wanauliza braza Idu 2025 utachukua fomu?
Idu wewe pamoja na kuwa kada wa CCM tunakukubali sana. Mimi huwa nawapa ukweli. Mimi sio kada bali msema kweli. Hoja zangu sio za kujipendekeza bali kueleza ukweli kwa manufaa ya umma.
Bro Idu mbona unabadili Kaunda suti daily? Mara zingine za kijani juu suruari nyeusi. Mimi nawaambia hayo ni mavazi tu.
Vijana wa CHADEMA hapa Igunga wananikubali sana. Ila bila kuficha mitungi nayo inachangia. Maana kama mfuko upo vizuri huwa nawachakaza kwa Mapaba na Balimi za kufa.
My take, Idugunde ni mtu wa watu na anakubalika sana. Ila sio MwanaCCM.