Vipi Mambo! Je una APP file (apk) na ungependa ku list katika Google play? NITAKUSAIDIA
Mimi namiliki Google Developer akaunti ambayo ni trusted by Google GOOGLE HUCHAJI 25$ Kuchapisha App ktk playstore
Mimi Nitapublish APP Yako ktk akaunti yangu kwa 5$ tu hapo utakuwa umesave 20$
App itakuwa hewani Tayari kwa kuDownload ndani ya Masaa 24 baada ya kuchapishwa
Note: sexual, hacking, phishing, rejected/suspended, prank or guide Apps will be rejected