Tumbo linaniuma sana tena zaidi ya sana, kama la kuharisha lakini siharishi.
Nimekuwa nikijisikia kwenda haja, lakini mara niingiapo maliwatoni hamna kitokacho, ni mimi na maumivu, naumia sana.[/QUOTE Mchafuko wa tumbo {UPSET STOMACH}
Asali imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa tumbo pamoja na
kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu
yaletwayo na vidonda vya tumbo. Matumizi kunywa kijiko kimoja kikubwa Asubuhi kabla ya kula kitu na mchana na usiku kutwa mara tatu itakusaidia kutuliza hayo matatizo yako ya tumbo tumia kisha unipe maelezo yako je imekusaidia Asali? la kama bado hujapona nenda kamuone daktari