Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
naomba unapoweka verse sema ni kama wimbo wa nani vile.....
Babu mwana wa Kahena(verse)
Nile kama ndizi, nichane kama mic ni wewe wangu wa moyo...
Mtoto umetanuka,umechanuka,umewaaaaaaaaa,
Nitembelee kote kwangu eweeeeeeeee, kama buibuiiiiiiiii, mtoto baibuiiiiiiiiiiii...
kusema kweli nimekudondokeaaa..
nature chorus...
Mtoto una hips hips kama shakilaaaa,ila kukuacha nitakilaaa,nipende mwana mnyonge mimiiii...
Twendezetu tukajirushe rushe,kwenye maraha niwe mwenye zali mimiiii...
Weka verse kama unaweza na chorus juuuu...
Bongo fleva hahahaha
Nyie watz mna kazi sana kuondokana na umasikini kudadadeki zenu.......vichwa vyenu WATZ vimejaa makamasinaomba unapoweka verse sema ni kama wimbo wa nani vile.....
Babu mwana wa Kahena(verse)
Nile kama ndizi, nichane kama mic ni wewe wangu wa moyo...
Mtoto umetanuka,umechanuka,umewaaaaaaaaa,
Nitembelee kote kwangu eweeeeeeeee, kama buibuiiiiiiiii, mtoto baibuiiiiiiiiiiii...
kusema kweli nimekudondokeaaa..
nature chorus...
Mtoto una hips hips kama shakilaaaa,ila kukuacha nitakilaaa,nipende mwana mnyonge mimiiii...
Twendezetu tukajirushe rushe,kwenye maraha niwe mwenye zali mimiiii...
Weka verse kama unaweza na chorus juuuu...
Bongo fleva hahahaha
Nyie watz mna kazi sana kuondokana na umasikini kudadadeki zenu.......vichwa vyenu WATZ vimejaa makamasi