Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🀭

Kabla ya hiyo siku uliyomgomea,hapo mwanzo alishawahi kuichapa?

Nuliza kwa niaba ya Binti wa zamani
 
Daaah sikutarajia, nimecheka mpaka basi 🀣🀣🀣
Kumbe hadi mashetani huwa mnapandisha ili msitoe tamu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nilikuwa naweza ila sabbu nilikuwa yani mbishi sana kunamtu alinidai hadi zawad zake πŸ˜‚πŸ˜‚ kisa kwenda gheto alafu kukataa kuliwa nilikuwa naΓ mni mapenz ni kulazimishana kugomeana πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaa shangaziiii.
 
Khaaaah!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeniacha na swali katika simulizi yako.
Siku ya kwanza ulipoenda roomuni kwake jamaa akaomba, ni kweli,ungegawa ungeliweza kufeli, au ilikuwa ni trick tu ya kumneutralize?

Maana mi najua ukigongwa, furaha huongezeka na akili zinakukaa sawa, iweje kwako iwe tofauti?
 
Hivi mkuu huwa unaamini kabisa toka moyoni mwako kuwa 'hiyo' ni dhambi?
 
Kwani hata huyo mke utakayekuja kumuoa unajuaje kama hajatoka kuachana na mchizi mwingine?
Aachane hata na taifa zima lakini isiwe machizi nnaowajua, au wananijua...haswa haswa machizi zangu. Afu isitoshe siku jamaa anaifumua nlikuwepo eneo la tukio nikaona hao, wameingizana chemba. πŸ™†πŸΎ
Sema ni katoto kazuri kinyama, labda ndo maana nililia siku hiyo, maanake ningekaopoa wa kwanza, ilikuwa ni kukaweka ndani mazima. πŸ˜”
 
Umeniacha na swali katika simulizi yako.
Siku ya kwanza ulipoenda roomuni kwake jamaa akaomba, ni kweli,ungegawa ungeliweza kufeli, au ilikuwa ni trick tu ya kumneutralize?
Sina uhakika kama nimeelewa swali.
Ila sikutaka kumpa kwa sababu sikua kwenye mood na niliona atanitoa kwenye focus ya paper.
Maana mi najua ukigongwa, furaha huongezeka na akili zinakukaa sawa, iweje kwako iwe tofauti?
Ni kweli ila kuna muda una mambo kichwani unakua tu hujisikii. Kwani wewe muda wote unajisikia kudinyana mkuu?
 
Aachane hata na taifa zima lakini isiwe machizi nnaowajua, au wananijua...haswa haswa machizi zangu. Afu isitoshe siku jamaa anaifumua nlikuwepo eneo la tukio nikaona hao, wameingizana chemba. πŸ™†πŸΎ
Duuh kwani nyie hamna bro code, kwamba rafiki yako wa karibu akipita na msichan wewe haugusi? au hii ipo kwetu sisi tu?
Sema ni katoto kazuri kinyama, labda ndo maana nililia siku hiyo, maanake ningekaopoa wa kwanza, ilikuwa ni kukaweka ndani mazima. πŸ˜”
Kumbe hadi ulilia, pole sana, achana na ulevi sasa πŸ˜….
 
Mimi nilikuwa naweza ila sabbu nilikuwa yani mbishi sana kunamtu alinidai hadi zawad zake πŸ˜‚πŸ˜‚ kisa kwenda gheto alafu kukataa kuliwa nilikuwa naΓ mni mapenz ni kulazimishana kugomeana πŸ˜‚
Wewe ni Mzawa wa Mogabiri Tarime!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…