Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🀭

Nilivyosoma hiyo " nikasema sawa nisindikize tu" sikuhitaji hata kumalizia kujua kwamba ulijilia tamu.
Haya siku ya pili baada ya kutwist ulikula tena au wewe ndiyo hukumuelewa?
 
Nilivyosoma hiyo " nikasema sawa nisindikize tu" sikuhitaji hata kumalizia kujua kwamba ulijilia tamu.
Haya siku ya pili baada ya kutwist ulikula tena au wewe ndiyo hukumuelewa?
Siyo kutwist mziki, bali ni night club inaitwa twist
Baada ya kukutana huko nikawa ni certified fornicator (MUNGU anirehemu), hapo ikawa ni kujisenegalise na kujitanzanite
 
Ukamla, kisha ukapiga chini. Daaahhhh πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakujaa
Cocacola SAMAHANI KIDOGO, huenda ni kweli au SI KWELI, ila inshu ya KUSEMA we ni me inakuharibia kama KWELI we ni ke inabidi mara MOJA TU pia picha WALAU hata paja TU au mkono, au inshu yoyote itayo onesha uanamke WAKO coz MTU kama Mimi NILIKUA na nia kabisa ya KUMUOA ila nikashauriwa napoteza muda coz we ni me, kila Niki KUONA hili jambo linani ingiza kichwani SANA, mfano Kipind hicho NILIKUA single Sasa Nina manzi kachukua nafasi Yako huoni kama umepoteza MTU MAKINI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…