Nakuja kwako, ila hatufanyi kitu 🀭

Huogopi jela mkuu?
 
Sijawahi huko ila nina story ya mchanga mmoja hivi Lamomy anaijua πŸ˜‚
Ila niko sambamba na kanda ya ziwa, hao wanaume wa kazi kazi, kila nikigeuka imo, ndiyo nawapenda!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kanda ya ziwa wanajua kupenda, wanajali, wanatunza, wamenyooka.
Kumbe hadi kunako kwa bed wako πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Jamanii sasa si mngenisanua mapema, ningefanya pract na boss mivocha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kanda ya ziwa wanajua kupenda, wanajali, wanatunza, wamenyooka.
Wanapenda sana, ni raha jamani, unajisikia mwanamke kweli.
Kumbe hadi kunako kwa bed wako πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Huko ndiyo kivumbi, utajua tu ule ugali wanaopenda unaishiaga wapi πŸ˜‚
Jamanii sasa si mngenisanua mapema, ningefanya pract na boss mivocha.
Unamuongelea yupi, isije ikawa tajiri Enzoo 🀣🀣
 
Umeona eenhe, hizi mechi za kufosi kidogo zina utamu πŸ˜‹.
Hujizuii kutaka tena!
Inapigwa vurugu mechi ya dk kadhaa, sasambu sasambu... mtoto akiondoka ni mwendo wa vimeseji meseji
Hivi hamsikii kinyaa au kichefu chefu?? Kupeana hiyo mimate? Ukute wengine hawajui kusafisha kinywa, au mdomo unanukaaaa.
Aaaaaah!! Mbona kutapishana huko. Lol
We mwenzetu, unafanya mapenzi ya KIKURYA(RARA NKURENGE)nini,ama,!??, kipi sio uchafu kwenye mapenzi?
Ukiona umepata mtu hajui kupiga mswaki, basi ujue ndio size yako, ndio level uliyokuwepo, binadamu unaejielewa huwezi nuka kinywa, tena ukijua una KIKAO CHA DHARURA maandalizi lazima yazingatiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…