Aiii huku nilipo ni mbali na imekuwa ghafla dear. Yani ningekuwa huko ningekupeleka machimbo hayoooo,chips za buku humalizi halafu tamuuuu!Twende wote
mimi apa nipo iyunga mwenyeji wako usije na kot utayakuta uku ukuKesho nitakuwa mgeni wenu watu wa Mbeya na viunga vyake
Naomba muwe wenyeji wangu