Nakujuza tu kama hujui hivi; Ukipoteza ufunguo wa nyumbani kwako hutakiwi kuvunja komeo/mlango wako bila Ripoti ya Polisi (Loss Report)

Wewe na huyo fundi mtakamatwa ikitokea kuna uchunguzi unahitajika!
Na mafundi walioelimishwa juu ya hili unapompa kazi ya kuvunja mlango anatakiwa ahoji lost report! Vinginevyo atawajibishwa kama mharifu!
Askari wenyewe hawafanyi hayo, tunawashuhudia wakivunja milango bila loss report
 
Hairuhusiwi kumlazimisha mkeo wa ndoa akupe unyumba ukibainika miaka 30 jela ni ubakaji
 
Askari wenyewe hawafanyi hayo, tunawashuhudia wakivunja milango bila loss report
Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!...kama utaratibu ni kuchuchuma nakushauri we chuchumaa, usiige popo anayekojoa kabinua miguu kichwa chini, kwake yeye kunuka mkojo ni kinga!
 
Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba!...kama utaratibu ni kuchuchuma nakushauri we chuchumaa, usiige popo anayekojoa kabinua miguu kichwa chini, kwake yeye kunuka mkojo ni kinga!
Una maslahi binafsi
 
Mfano ukivunja komeo lako halafu ukamkuta mpenzi wako chumbani coincident kajinyonga au kanywa sumu! Au ukakuta humo ndani vitu vimeibiwa kwa mtu mwingine kufoji funguo kabla ya wewe kuvunja ...mwizi atayegeuziwa kibano ni wewe mwenyewe uliye vunja
Kama ndio hivyo nadhani kungepaswa somo la sheria liwe linafundishwa shuleni, Kama ilivyo kipindi Cha dini Basi kuwepo na kipindi cha somo la sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeeee,umetujuza vemaa ila ,
Loss ripoti inapatkana police,
Nimepoteza ufunguo ucku aaaaafuuuu ucku huohuo nifate loss ripoti,,,,
Ctoweza mdau,
Dawa ni kulivunja tuuuu
 
Aiseeeeee,umetujuza vemaa ila ,
Loss ripoti inapatkana police,
Nimepoteza ufunguo ucku aaaaafuuuu ucku huohuo nifate loss ripoti,,,,
Ctoweza mdau,
Dawa ni kulivunja tuuuu
Unaweza kuipata lost report hata kupitia Application! Download app kutokana apps store " polisi Tanzania app"
 
Sheria kandamizi. Yale yale ya mti nimepanda mwenyewe, ikifika muda wa kuvuna eti mpaka nipate kibali cha maliasili!!?
 
Sheria kandamizi. Yale yale ya mti nimepanda mwenyewe, ikifika muda wa kuvuna eti mpaka nipate kibali cha maliasili!!?
ni sawa lakini kama nimevamiwa je??ndo nisubir police wajee ee
 
Issue ya funguo una maliza mwenyewe tu

Ova
 
Wasinipe tu hiyo silaha,maana ugomvi wa baa kwa chupa ni kila siku
 
Sheria kandamizi. Yale yale ya mti nimepanda mwenyewe, ikifika muda wa kuvuna eti mpaka nipate kibali cha maliasili!!?
Kupanda mti haikupi uhalali wa kumiliki! Unaweza kuwa umepanda eneo lisilokuwa lako,
Na iko miti ya kutolea taarifa na mingine siyo!

Mfano mtu aliyepanda Mti wa mbilimbi au mronge siyo lazima kibari, lakini miti mingine unakumbushwa kutoa taarifa, kwa ajili ya usalama kutokana kwa wataalam wa miti maana ikitokea mti wako umehribu miundombinu ya umeme au kuangukia nyumba za watu ndipo utajua umhimu wa kibali
 
Umekurupuka. Mimi namaanisha eneo ni langu kisheria na nimepanda mti mwenyewe na kuutunza hadi ukakomaa. Nikitaka kuuvuna ni lazima nipate kibali cha maliasili!! Ukandamizaji huu.
 
Usififanye maisha kuwa magumu kwa kuongezea mbwenbwe la sivyo utakufa kwa msongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…