King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nilimkosea in another way....! Akanipiga kibuti cha kiutu uzima😭😭
Hahahaha.Mwanamke mwenzako anapopitia magumu kama.haya ni lazima uvae viatu vyake...namuelewa mno...huenda hata kazi haziend fresh...hadi Festo apatikanee
I appreciate your effort.Best huu hapa.
I appreciate your effort.
Ile diary si unayo andika kabisa bwana. Au print alafu unaweka nyuma ya mlango wa kabati.Nimerudi kusoma tena....🤗
Kila kitu kumhusu yeye...kuanzia usafi...hadi umalaya wa kitandani
[/QUOTE Daah umenikumbusha jins nlivyompagawisha yule mtt wa watu bt ndo ivo haikupangwa kuwa pamoja
🤣🤣🤣🤣Ile diary si unayo andika kabisa bwana. Au print alafu unaweka nyuma ya mlango wa kabati.
Naomba nipm pleaseI hope so
😂😂😂Mara nyingi wanawake wanajutia kwanini niliduuu ni yule mxiiiiuuu zake
Hakuna namna tutaangalia namna uje tupashe viporo.I had a sleepless nite
Mwenzio kaamua kufunguka ya moyoni. Ya nini kuitesa nafsi. Na wewe Wangari Maathai funguka bana.Ngariba1 njoo utie neno huku au uache wosia kidg
I met with this guy on 2017-2018
Nakukumbuka Festo...nisamehe kukufungulia uzi....
Wasalimie Mpwapwa🥰!
I hope to meet again....
Wasalaam !
Mzee wa Legacy
Ngoja ni paste PM kwako ili usisumbuke tena. Poleeee!! Nakuja kujipaste na me mwenyewe.Nimerudi kusoma tena....🤗
Hahahaha... nimecheka sana ....kina Festo wako wachache sanaMwenzio kaamua kufunguka ya moyoni. Ya nini kuitesa nafsi. Na wewe Wangari Maathai funguka bana.
Ila Festo katisha. Sijui alimpa nini Mrs Byesige . Ajitokeze atufunde vidume tujue jinsi ya kuacha legacy.
Atalia akiisoma hii aise😆kwa sasa yupo Dar
kipindi iko alikuwa anafanya kazi shirika moja hivi la serkali
Festo mbona wapo wengi?I met with this guy on 2017-2018
Nakukumbuka Festo...nisamehe kukufungulia uzi....
Wasalimie Mpwapwa🥰!
I hope to meet again....
Wasalaam !
Mzee wa Legacy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji87] niko naye hapa Festus[emoji2955]