Hao ndio mapacha mkuu..ndio maana mwanaume hufanya yote kwaajili ya Papuchi..atlast akiipata anaingia mitini,mnahongwa hadi gari bt mwana akichovya ananyang'anya funguoKwani papuchi mwenzie hela tafakari mkuu.
Mkuu hata insta tutapata KLijaaa linatutisha na jua kuwa hata Siku moja hautapewa nyapu ya Bure
Wala kuiokota K
Mpe anae kupa
Kwahio nikitongoza lazima nihonge? Hell no, natongoza na sihongi.Huwezi kuhonga kama hukutongoza
Kanapenda mlungula(pesa) haka kadada ketuhaaaa why nitatumiwa nyingi sana
Swali zuri katibuDuuhhh mie naomba just prove the relationship btn kutongoza na kuhonga .
Huwezi kuhonga bila kutongoza sijasema kuwa ukitongoza lazima uhongeKwahio nikitongoza lazima nihonge? Hell no, natongoza na sihongi.
Hahahaahahah 😀 😀 😀Hio m inayokatika unamaanisha 1m? Hebu acha utani wewe, hayo ni matofali 1000!
Mwanaume asiyehonga hata mimi simtakiKwahio nikitongoza lazima nihonge? Hell no, natongoza na sihongi.
Sasa ukisema nisitongoze kwasababu sitaki kuhonga una maana nikitongoza lazima nihonge.Huwezi kuhonga bila kutongoza sijasema kuwa ukitongoza lazima uhonge
Kuhonga kwenye mapenzi ni kama bread and butter ingawa mkate mkavu unalikaSasa ukisema nisitongoze kwasababu sitaki kuhonga una maana nikitongoza lazima nihonge.
Na mimi mwanamke anaependwa kuhonga simtaki. Ngoma droo.Mwanaume asiyehonga hata mimi simtaki
Hivyo hupaswi kulalamika kwa unachokitoa ikiwa kipo unachokitaka.Hao ndio mapacha mkuu..ndio maana mwanaume hufanya yote kwaajili ya Papuchi..atlast akiipata anaingia mitini,mnahongwa hadi gari bt mwana akichovya ananyang'anya funguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya kuhonga? Nakupa hongo ili unipe kitu fulani. Hamna mapenzi hapo,maslahi tu.Kuhonga kwenye mapenzi ni kama bread and butter ingawa mkate mkavu unalika
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora umenikumbusha maana hapa nilianda 50000 ya kumuonga mtoto wa kishua leo anakuja ghetto [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwahonge ili nanyi mkawahonge hao mnaowaita wakunajiMwanaume asiyehonga hata mimi simtaki