Hapo NECTA walizidisha uonevu sanaHuyu mama waislamu wamewahi kuandamana kumtaka ang'oke NECTA kwa kuvurunda, leo anawaletea wanafunzi, watoto wa masikini dharau kisa eti ana mamlaka
Hapa Chini picha za waislamu walipoandamana kupinga madudu ya NECTA.
View attachment 1296300View attachment 1296302View attachment 1296303
Magu ni mnafiki na muongo sana, angetuambia ukweli tungejua hali halisi badala ya kusubiri ahadi hewaMagufuli alipokuwa anaomba uraisi cheki alichozungumza kuhusu mikopo ya wanafunzi.
View attachment 1296309
Siyo kwamba tulisupport uteuzi wake , huyu tulimteua kwanza sisi ndio baadaye Magufuli akaona na kuamua kumteua , huyu ni waziri aliyetokea JF .Uteuzi wa Huyu Mama ndio nilipojua JF inaangaliwa sana na wakubwa, Tulisuport sana uteuzi wake kama Jf ila leo mmh sitak hata kusoma zile comment
Hii ni aibu kwa waliokuzaaKwa hiyo na wewe umetoa laana, au ? Isitoshe kwa nini huo ushauri usimpe Mbowe?
UDSM ilisha kufa tangu aingizwe madarakani huyu VC wa sasa. Ni mwoga kama katoto kadogo. Eti anatishwa na waziri na yeye anaweweseka tu. Kwanza hakushinda kwenye uchaguzi wa VC wakaamua apewe kwa sababu ni dhaifu! Ameiua UDSM na kuwa kama chekechea vile. Hakuna mwenye hamu ya kuwa UDSM ila wanashindwa wafanyeje maana ndiko waliko ajiriwa.Sijapenda kauli zake, lakini nafikiri WA kulaumiwa Sana ni uongo WA UDSM.
Wamepigwa mkwara , wamejaa fasta. Wawasikilize wanafunzi.
Vipi kuhusu waliosababisha mkopo kuchelewa?. Nao wanafukuzwa Kazi?.
Wamemsimamisha masomo tu kwa muda usiojulikana wametoa adhabu ya kuwaridhisha na labda kuzima huu moto naamini atarudishwa.Sijapenda kauli zake, lakini nafikiri WA kulaumiwa Sana ni uongo WA UDSM.
Wamepigwa mkwara , wamejaa fasta. Wawasikilize wanafunzi.
Vipi kuhusu waliosababisha mkopo kuchelewa?. Nao wanafukuzwa Kazi?.
We Dogo mbona sisi wakati ule wa katibu mkuu Marehemu Ngororo tulikuwa tunawapa Masaa na hela inatoka? Mikopo ni haki yao wanaweza tumia mbinu yoyote kuipata.Vijana mnakosea sana vijana adabu ni sifuri. Mnaipaje amri serikali? Tumieni busara kufikisha ujumbe kwa wenye mamlaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko vyuo vikuu vilikuwepo wakati unasoma wewe tu. Wakati ambao wanasoma wengine hakuna vyuo vikuu?Ana bahati sana huyu bibi. Ungekuwa ndio ule wakati wa huko nyuma tulipokuwa na vyuo vikuu nchi ingewaka moto kwa lile tamko lake la eti kutikisa kiberiti eti kimejaa. kweli! Bahati yake vyuo vikuu vilishafutika tangu 25/10/2015. Angekiona cha moto. Angeomba radhi maana kuanzia jana hakuna ambacho kingeendelea vyuoni. Ingekuwa ni mtifuano mkubwa! bahati yako bibi unaongoza wizara kipindi ambacho hatuna vyuo vikuu.
Kama unajua maana halisi ya Chuo Kikuu na sifa zake. Nitajie leo chuo gani kina sifa za Kuitwa Chuo Kikuu?Ko vyuo vikuu vilikuwepo wakati unasoma wewe tu. Wakati ambao wanasoma wengine hakuna vyuo vikuu?
Sent using Jamii Forums mobile app