NAKUMATT Supermarket yafungua tawi Dar es Salaam.

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
 
NAKUMAT si ndo wamerith maduka ya Shoprite? Ngoja wawajazie Wakenya hado mshangae, ukiingia Dukani ni full wakenya, Branch yao ya Moshi nazani ina wakenya full. Ila jamaa kwa Biashara ni balaa na hizi supermarket zetu ambazo unakuta mmiliki kaajiri sijui Demu wake sijui shemeji inabidi wajiangalie, NAKUMAT wako kibiashara sana ila tatizo lao kubwa ni Bei, Huwezi linganisha Bei za Shoprite na Nakumat, Jamaa wana bei za juu sana,
 
Kwetu wanakuja kwao hawataki tuende,CRDB Bank walitaka kufunguz tawi Nairobi walifanyiwa fitina sana
 
Kwetu wanakuja kwao hawataki tuende,CRDB Bank walitaka kufunguz tawi Nairobi walifanyiwa fitina sana
Wakenya wana makampuni ya insurance supermarket ma bank magazeti lakini hapa tanzaniA lakini watanzania hawana investments yoyote kenya wanatuwekea vikwazo sana, zaidi ni kupeleka raw materials kama magogo ngozi asali mahindi
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.

Samahani mkuu nauliza tu ulikuwa umefungwa jela? Samahani lakini.
 
Kwetu wanakuja kwao hawataki tuende,CRDB Bank walitaka kufunguz tawi Nairobi walifanyiwa fitina sana

porojo toa dhibitisho ya taarifa yako. mbona bank za nigeria zipo kenya biashara. shinda ya biashara za kitanzania ni kuexpect kupendelewa sokoni. capitalism ni survival for the fittest.
 
Eeh wamefungua pale Mlimani City, mbona ipo mitandaoni kwa muda sasa taarifa hiyo. I guess uki gugo zaidi utajisomea mengi
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
mende 2014 umezoea kuibuka usiku, ndio maana huna taarifa za wakati
 
Last edited by a moderator:
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
Lakini hili jina, mmmh, wangetafuta jina linalo-sound vizuri masikioni:smiling:
 
Mabingwa wa supermarket SUKITA nao kurudi hewani soon.
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.
Wala hakuna cha ajabu !Jana nilipita nikaona kitu kipya nikaingia ....na kawaida sana ,Shoprite walivyoaanza walikuwa vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…