Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ninachokionaa leo ni muendelezo tu, niko Uganda nako huku Nakumatt wamefungiwa na URA branch tatu kwa kutolipa kodi na kutowalipa waliokuwa wakipeleka bidhaa.
Baada ya kutonywa hali halisi wahusika waliwahi mahakamani kuzuia mali za Nakumatt kutoka mpaka walipe fedha zao bil 17.
Hata hivyo pesa ni pesa, walinzi walirubuniwa wakiwemo polisi waliokuwa na silaha na kuruhsu magari nane kutoka yakiwa na bidhaa kurudi Kenya
Hatimae malori hayo yalikmatwa mapema usiku na kurudishwa yard. Baadae mahakama imeamuru malori hayo kuuzwa na mnada utafanyika Jumamosi ili kulipia madeni ya wahusika na kodi ya Serikali.