Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Picha hii nilimpiga Rais Mkapa siku alipozindua kitabu cha hotuba zake kilichochapwa na Mkuki na Nyota.
Nilijulishwa kwake na Bwana Walter Bgoya Mkurugenzi Mkuu wa Mkuki na Nyota tukapeana mikono.
Bwana Bgoya akamwambia Rais Mkapa, ''Huyu ndiye Mohamed Said aliyeandika kitabu cha Abdul Sykes.''