Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Huzioni hapo bob ziko mbili kabisaSasa mbona picha yenyewe haipo...
Wewe hutahukumiwa utaenda kukaa na Mungu kabisaa alipokaaMzee Said huyo mtu mwache aende akahukumiwe kwa kadri ya matendo yake. Maana alichokifanya tunashukuru corona imemfyeka. Mwaka huu ndie alikuwa tegemeo la kulazimisha matokeo. COVID 19 haipo ila ina maksudi yake.
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.Sasa mbona picha yenyewe haipo...
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
30 kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi