Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hapo huja chungulia kwa jamaa yako wa pembeni unakuta naye hooolaa!!! Mnabaki mnatambuliana mimacho.Hahahahaa umenikumbusha mbaaaali sana, unasoma swali mara sita na bado hulielewi unasoma lingine yaleyale uwiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shida Darasa La Saba umemaliza 2014Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
wee umemaliza lini?Shida Darasa La Saba umemaliza 2014
mkuu kama vile tulimaliza mwaka mmoja hahahahhaha, hali ikishakuwa ngumu hivi unaomba mungu kama mwalimu wako atapita angalau aweke kidole mahali, hapohapo unaweka kama jibu! wale jamaa askari polisi walikuwa wanakomaa ile mbaya hakuna mtu kuzengea eneo mnalofanyia paper*Nakumbuka mitihani ya Darasa la saba ilikuwa inaanza kama utani utani hivi*
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
Halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita au la saba hivi...utajutaa!!
"Ndege inatoka Dar saa tatu asbh kwenda Chato. Na gari Toyota Land cruiser linatoka Chato saa nne asbh kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, je, zitakutana saa ngapi?"
Ah, sasa mi ntajuaje???
Na hizi tochi zote barabarani na matuta na ishu ya kusimama kujisaidia...ntawezaje kujua watakutana saa ngapi.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Unajikuta umetoka kwenye pepa umejibu maswali manne tu ya mwanzo kati ya hamsini
Unaonekana wewe ni mtoto wa juzi , miaka ya 90+ kulikuwa na maswali zaid ya hilo darasa la saba. Unadhan ni awamu ya vilaza ile ambayo mnapewa maswali ya hesabu ya kuchagua?Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
sijafanya hesabu za multiple choice na hata ningefanya bado maswali ya miaka ya nyuma ipo kwenye vitabu vya necta vilivyokuwa vinatoka, hivyo haijalishi mtu kujua maswali ya la saba miaka hata ya 70s achilia mbali hiyo 90s yako yalikuaje,Unaonekana wewe ni mtoto wa juzi , miaka ya 90+ kulikuwa na maswali zaid ya hilo darasa la saba. Unadhan ni awamu ya vilaza ile ambayo mnapewa maswali ya hesabu ya kuchagua?
wewe ni kilaza wa hesabu, kwa mtu anayejua solution ya hilo swali anajua kabisa hilo sio swali la shule ya msingi, ulikuwa huelewi hata maswali ya maelezo inaonekanaTumvumilie (chinchilla) huyo kasoma drs la7 la math za multiple choice 2013>na kuendelea. Au ndo wale wa Feza schools ada milion 45
sijafanya hesabu za multiple choice na hata ningefanya bado maswali ya miaka ya nyuma ipo kwenye vitabu vya necta vilivyokuwa vinatoka, hivyo haijalishi mtu kujua maswali ya la saba miaka hata ya 70s achilia mbali hiyo 90s yako yalikuaje,
na narudia tena kama unaamini hilo swali ni la darasa la saba wewe ni kilaza wa hesabu, hilo swali najua solution yake na mtoto wa la saba hawezi kupewa swali kama hilo
I'm not seeking forgiveness
Hapo mtoa mada hajazungumzia hayo maswali manne ya kwanza yeye kazungumzia ugumu wa maswali ya mafumbo kwa nilivyomuelewa mimiwewe ni kilaza wa hesabu, kwa mtu anayejua solution ya hilo swali anajua kabisa hilo sio swali la shule ya msingi, ulikuwa huelewi hata maswali ya maelezo inaonekana
I'm not seeking forgiveness
Darasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
nimemuelewa ila hilo swali la fumbo sio la darasa la saba, ni la sekondari, nasema hivyo sababu najua solution yake na sio ya la sabaHapo mtoa mada hajazungumzia hayo maswali manne ya kwanza yeye kazungumzia ugumu wa maswali ya mafumbo kwa nilivyomuelewa mimi
sijafanya hesabu za multiple choice na hata ningefanya bado maswali ya miaka ya nyuma ipo kwenye vitabu vya necta vilivyokuwa vinatoka, hivyo haijalishi mtu kujua maswali ya la saba miaka hata ya 70s achilia mbali hiyo 90s yako yalikuaje,
na narudia tena kama unaamini hilo swali ni la darasa la saba wewe ni kilaza wa hesabu, hilo swali najua solution yake na mtoto wa la saba hawezi kupewa swali kama hilo
I'm not seeking forgiveness