chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
kweli yalikuwa hivyo, hawa wanabisha tu sababu walikuwa hawayaelewi pengineNakumbuka ya treni na masaa 24 ndio yalikua yanaletwa, ile masaa yanaandikwa 1900 au 2145. Mara nyingi ilikua kutafuta muda wa treni au basi kufika mahali na namna ya kuziandika hizo saa. Hesabu zingine zilikua za ankara na zile za kutafuta gharama ya kutuma maneno sijui kwa fax? (sina uhakika) unapewa gharama ya maneno kumi ya mwanzo na kila neno linalozidi kusha utafute gharama za kutuma maneno uliyopewa.
nimemuelewa ila hilo swali la fumbo sio la darasa la saba, ni la sekondari, nasema hivyo sababu najua solution yake na sio ya la saba
I'm not seeking forgiveness
kweli yalikuwa hivyo, hawa wanabisha tu sababu walikuwa hawayaelewi pengine
I'm not seeking forgiveness
reviews zilikuwa zinatoka kitambo, version tofauti kukingana na mwaka, kusema zilianza kutoka 2010 sikulaumu pengine ndio ulianza kuziona.Nyie ndio mlikua mnanunua mitihani,ulitegemea utakutana na swali gumu?
Review za darasa la 7 zimeanza kutoka 2010, je wewe ndio ulikua darasa la 7?
hujui hata ninachobisha? basi wewe ndio ukae kimya maana ni uchizi kuingilia mazungumzo usiyoyaelewaUnachobisha ni nini sasa? Kama ulikua haujui bora ungekaa kimya.
reviews zilikuwa zinatoka kitambo, version tofauti kukingana na mwaka, kusema zilianza kutoka 2010 sikulaumu pengine ndio ulianza kuziona.
Na kwa taarifa yako mimi sio kilaza wa hesabu hiyo solution yake naijua ndio maana nimesema sio swali la darasa la saba
I'm not seeking forgiveness
bookshopsHizo reviews mlikua mnatumiwa na Necta?
Wewe hujasoma hesabu shule ya msingi labda. Haya maswali yalikuwepo enzi hizo na kama hujabahatika kuyaona nachelea kusema umemaliza darasa la saba miaka ya 2008+wewe ni kilaza wa hesabu, kwa mtu anayejua solution ya hilo swali anajua kabisa hilo sio swali la shule ya msingi, ulikuwa huelewi hata maswali ya maelezo inaonekana
I'm not seeking forgiveness
hujui hata ninachobisha? basi wewe ndio ukae kimya maana ni uchizi kuingilia mazungumzo usiyoyaelewa
I'm not seeking forgiveness
Wewe hujasoma hesabu shule ya msingi labda. Haya maswali yalikuwepo enzi hizo na kama hujabahatika kuyaona nachelea kusema umemaliza darasa la saba miaka ya 2008+
nipe solution ya hilo swali kama unaelewa ulichokuwa unasoma kwenye karatasiWewe hujasoma hesabu shule ya msingi labda. Haya maswali yalikuwepo enzi hizo na kama hujabahatika kuyaona nachelea kusema umemaliza darasa la saba miaka ya 2008+
chizi ndio wewe, hujajijua badoWewe ndio chizi unaebisha kitu usichokijua. Na haya ni matatizo ya watu kununuliwa mitihani.
bookshops
I'm not seeking forgiveness
Asante kwa kumsaidia mkuu maana naona ligi ya epl .Review za darasa la 7 zimeanza kutoka 2010, je wewe ndio ulikua darasa la 7?
chizi ndio wewe, hujajijua bado
I'm not seeking forgiveness
kama unajua sana hesabu nipe jibu ya hilo swaliNyie ndio vilaza mliokua mnanunuliwa mitihani.