chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
review za shule ya msingi nimenunua mwenyewe, na ni kabla ya 2010, 2010 mbali sanaRevies zilianza kutoka za form 4,zikaja za form 2 ndio zikafata za darasa la 7. Sijui hizo reviews ulikua unazitoa wapi.
Asante kwa kumsaidia mkuu maana naona ligi ya epl .
mnasema kilaza nikisema mnipe solution hamuwezi, nani kilaza?Mkuu achana nae uyo,hawa ni wale waliokua wananunuliwa mitihani,kazi yao ilikua ni kujaza tu.
mwendokasi ulikuwepo ila simple sana, kutafuta muda huku umepewa umbali na mwendokasi, au kutafuta mwendokasi huku umepewa umbali na muda, walikuwa hawaya complicate kama la mtoa mada,Mmh hujawahi kukutana na hesabu za mwendo kasi,umbali na mda, ktk maswali ya drs la7? we Chinchilla wewe mungu anakuona. kwa hilo la sekondari sina maelezo nalo ila kwa hayo niliyoyataja vp
Hivi umezaliwa awamu ya nani vile mkapa au kikwete,, hii post haikuhusu aiseeeDarasa la saba kulikuwa hakuna maswali magumu kama hayo, huo ni ukilaza wako unashindwa kutofautisha hata maswali ya la saba na sekondari
mimi ni mdau mkubwa wa hesabu ndio maana nasema kwa kujiamini hilo swali sio la darasa la sabaHivi umezaliwa awamu ya nani vile mkapa au kikwete,, hii post haikuhusu aiseee
Thanksmwendokasi ulikuwepo ila simple sana, kutafuta muda huku umepewa umbali na mwendokasi, au kutafuta mwendokasi huku umepewa umbali na muda, walikuwa hawaya complicate kama la mtoa mada,
maswali ya mtoa mada ni la sekondari form 3
I'm not seeking forgiveness
Mimi nilimakiza 1995 yani wakati huo ukiwa kipanga ni kipanga kweli.wee umemaliza lini?
Nakumbuka wakati huo swali/kazi/jibu. Sasa hivi unajibu hesabu Kwa ana ana ana dooo unapachika AUnaonekana wewe ni mtoto wa juzi , miaka ya 90+ kulikuwa na maswali zaid ya hilo darasa la saba. Unadhan ni awamu ya vilaza ile ambayo mnapewa maswali ya hesabu ya kuchagua?
Wewe ndiyo kilaza unakataaje hilo swali si la shule ya msingi wakati kipindi chetu tulifanya tukiwa primary! Nyingi ndiyo mnayoidhalilisha elimu mnajifanya wajuaji kumbe hopeless kabsasijafanya hesabu za multiple choice na hata ningefanya bado maswali ya miaka ya nyuma ipo kwenye vitabu vya necta vilivyokuwa vinatoka, hivyo haijalishi mtu kujua maswali ya la saba miaka hata ya 70s achilia mbali hiyo 90s yako yalikuaje,
na narudia tena kama unaamini hilo swali ni la darasa la saba wewe ni kilaza wa hesabu, hilo swali najua solution yake na mtoto wa la saba hawezi kupewa swali kama hilo
I'm not seeking forgiveness
Haka katoto kamepotea njia hajitambua kbsaReview za darasa la 7 zimeanza kutoka 2010, je wewe ndio ulikua darasa la 7?
Mkuu unapoteza muda wako hana amachokijua zaid ya kuuza nanihiiUmesoma Tanzania?
Yote Tisa kiboko ilikuwa maswali ya umri jamani jamani sitosahau nipo advance cbg nilivorudi likozo dogo darasa LA Saba ananiletea hilo swali La umri nilichomjibu mpaka Leo anajua kaka yake nasoma kiswahili na literatureUmekosea kdogo. Mtiti ulikua unaanzia swali la 31. Babu unatamani waseme ishieni hapohapo ulipofikia
review za shule ya msingi nimenunua mwenyewe, na ni kabla ya 2010, 2010 mbali sana
I'm not seeking forgiveness
Sekondari topic gani?nimemuelewa ila hilo swali la fumbo sio la darasa la saba, ni la sekondari, nasema hivyo sababu najua solution yake na sio ya la saba
I'm not seeking forgiveness
Hivi wee hunioni haya kila mtu anakukosoa wee! Vitoto vya hivi ndyo vile vilivyopata kila kitu kwa kulala chalimimi ni mdau mkubwa wa hesabu ndio maana nasema kwa kujiamini hilo swali sio la darasa la saba
Kama hujui hesabu plz usianze kujejeli watu wa hesabu
I'm not seeking forgiveness