Nakumbuka Ronaldo alipost "Eid Mubarak" hakuna kipangamizi alipata kutoka dunia ya Wakristo ila Mo Salah kupost na mti wa X-Mas tu imekuwa kesi

View attachment 3186570
View attachment 3186574
Kama member mmoja humu anaitwa Eli Cohen anapenda kusema kuwa "itikadi yenu sio ya harakati ya haki wala ukombozi, ila ni ya harakati za kitapeli"

Mengine nawaachia
Haifai kwa muislamu kushiriki ibada ambazo si za kiislamu , christmass mnasherehekea kuzaliwa mtoto wa Mungu wenu /kuzaliwa Mungu wenu na hapo hapo waislamu tunapinga na kukataa Mungu kuwa na mtoto au kumfanya binadamu kuwa Mungu haifai.

So hiyo backlash ni kumkumbusha kwamba wao wana dini yao na sisi tuna dini , tutashirikiana kwenye mambo ya kijamii yasiyohusisha ibada zenu baaaaas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…