comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
This thread is sponsored by Iphone XR
Eebanaee Comrade hapa!
Its one more time!
Kwa style tofauti kidogo.
Aseee way back kidogo enzi hizo, kipepe nikiwa naskuli katika shule ya msingi fulani katika moja ya mkoa hapa tz, eebanae nilikua nanyoosha mbayaaa, nakumbumbuka kuanzia la kwanza hadi la saba sikuwahi kupata maksi chini ya 95%, masomo yote nilikua napiga 95% kwenda juu aseeee!
Ebana nilipofika darasa la 5 walimu walinipenda sana aseee, ilifikia kipindi kuna mwalimu mmoja wa kike alikua anafundisha hesabu akawa ananiita mkwe, et kwakua ana mtoto wa kike akawa ananiambia nitamuoa mwanae.
Aseee! Darasa la saba sasa Ndio mtitiii, nilikua nabukua mpaka wenzangu wakawa wananichukia, maana wanafunzi wa kike walikua wananizunguka mda wote kwenye dawati langu wakitaka niwafundishe, aseee nilikua hatari sana kimasomo.
Kuna siku kuna mwalimu mmoja hivi alikua mgeni, nadhani Ndio alikua katoka chuo, duuh! Alitokea kunipenda sana kutokana na uwezo wangu class, akawa ananiita kwake ananifundisha aseee!
Ebana kama miaka ile ningekua na akili za kiutu uzima aseee ningewatafuna wanafunzi wa kike darasa zima maana nilikua kipenzi cha walimbwende.
Ebaana sielewi ikawaje baada ya kufika secondary form III, uwezo wangu ukashuka kwa kasiii, sijui kwakua nilishaujua utamu wa K, kichwa kikavurugika kabisaaaa!!
Eeebana sielewi yani kipepe baada ya kuonja K akili zangu zikaenda wapi, japo form 4 nilipasua lakini sio kwa kishindo.
Duuuuh!!!
Ebaana ngoja nilogout niendelee na kazi za kiofisi.