Nakumiss Mangwea

Albert Mangwair Rest in peace mazee ....

One love
 
Rest in peace Cow Bama,mstari pendwa kwangu ni 'waliozusha wewe jambazi wewe teja waje kwangu kugombea umeneja'
 
Nipe dili nikamate mahela,R.I.P jirani yangu

California love
 
Nyimbo za ngwair nilikuwa hazielimishi jamii bali kusifia ngono na gambe na imagination za kumwaga
Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta Lakini masela bado tunakomaa kutafuta/ Bado tunazisaka hata kwenye vichaka Atafutae hachoki akichoka ndio ameshapata /Japo sometimes kile kitu unachopata ni tofauti kabisa na kile unachotaka/ Ila mwanaume lazima ujifunze kuridhika kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa

Na usione tumepinda migongo, ukadhani ni vibyongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia acha mi nikapate gongo
Mradi wote tuwe stim ndio life ya kibongo
~MSELA~
 
isho_boy rudi hapa ufute kauli yako
 
Lengo Ni kuwa miliongwea,kwenda club na machizi halafu dili zote kwa ngwea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…