Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Nimejaribu kujizuia lakini nashindwa. Nakunywa wastani wa coca cola 4-5 kwa siku. Nikiamka tu kabla sijala chochote nakung'uta coca baridi. Nikigonga supu naisukumia na coca baridi.
Mchana nikipata menu, napumzika kama dk 15 naweka coca baridi. Mitaa ya saa kumi wakati napumzika baada ya mishe nagonga coca baridi. Usiku kama sijanywa pombe (lite) nikiwa na washkaji napiga coke baridi.
Hii maanake Nina bajeti ya kama 90000/= kwa ajili ya soda kwa mwezi. Nifanyaje niachane na hii kitu?