Uchaguzi 2020 Nakuomba Ole Sendeka ugombee ubunge Simanjiro, wewe ni mwanaCCM damu tutakupa

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
 
Mwambie ole apumzike siasa maana kashakaa zaidi ya miaka 20 kwenye ulingo na hajalifanyia chochote cha maana ilo jimbo wala taifa sasa atuachie vijana
 
ukweli ni kwamba wote waliofika bei awamu hii 2020 hawana nafasi udiwani wala ubunge, ccm inawenyewe
 
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Sendeka ameridhika na uRC!
 
Nawashukuru sana wale waliofukua mpaka wakatuletea hotuba ya Mwalimu kuhusu Malaya wa kisiasa.
Wanaonunuliwa.
 
Ole Sendeka ana nyodo, shombo, majivuno
Au umesahau kuwa 2015 akitamka kuwa yeye atashinda tu kwan hata ng'ombe wake wangempgia kura tu.
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Sasa kipi kilmfanya aangukie pua 2015 alaf kipi kitamfanya ashinde 2020???
Tuanzie hapo labda.
 
Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Simanjiro mtu mwenye sifa ya ubunge ni Ole Ssndeka tu?

Kwa taarifa uchaguzi ujao tunawapa ubunge maskini wa kutupwa nao wakashibe wasaidie ndugu zao mafukara.
 
Ole Sendeka ana nyodo, shombo, majivuno
Au umesahau kuwa 2015 akitamka kuwa yeye atashinda tu kwan hata ng'ombe wake wangempgia kura tu.Sasa kipi kilmfanya aangukie pua 2015 alaf kipi kitamfanya ashinde 2020???
Tuanzie hapo labda.

2015 palikua angalau na Uchaguzi:
Kwa sasa Ole Sendeka akachukue Form za Uteuzi mana hakuna uchaguzi bali uteuzi wa mkurugenzi kulindana uovu wake.
Mtu anakupa Ubunge na udiwani halafu utegemee pagakua na kumsimamia mkurugenzi kwenye suala la ufisadi na wizi ndani ya halmashauri.

Wizi na rushwa kamwe hazitaisha ndani ya halmashauri zetu mana wanaogakiwa kuisimamia halmashauri ni wateule wa Wakurugenzi .

Ole Sendeka akachukue Form za ubunge ili Ole Millya asubiri uteuzi kwa ajili ya kumuunga mkona mkuu wa Taifa.
Kazi ya mbunge ni kuunga mkono wananchi waliomchagua.
 
Back
Top Bottom