mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mwambie ole apumzike siasa maana kashakaa zaidi ya miaka 20 kwenye ulingo na hajalifanyia chochote cha maana ilo jimbo wala taifa sasa atuachie vijanaMh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Sendeka ameridhika na uRC!Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Sasa kipi kilmfanya aangukie pua 2015 alaf kipi kitamfanya ashinde 2020???Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Simanjiro mtu mwenye sifa ya ubunge ni Ole Ssndeka tu?Mh Ole Sendeka nakuomba sana mwaka 2020 jimbo la Simanjiro ni lako .Wewe ni mwanaccm damu huyo aliyekuwa mbunge nasikia kapanda bei eti anaomba kurudi CCM , tunachosema mwaka 2020 jimbo ni lako kama alitusaliti akaenda upinzani na huko upinzani kawasaliti hata sisi atatusaliti tena Mbunge wetu ni wewe.
Ole Sendeka ana nyodo, shombo, majivuno
Au umesahau kuwa 2015 akitamka kuwa yeye atashinda tu kwan hata ng'ombe wake wangempgia kura tu.Sasa kipi kilmfanya aangukie pua 2015 alaf kipi kitamfanya ashinde 2020???
Tuanzie hapo labda.