tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali: hizi kauli huwa zinatoka moyon? Au ni kinyume chake? Nawasilisha
Bado unapendwa hapo!!! otherwise asingekutamkia hivyoooo
utanikumbuka husemwa sana kana kwamba ni lazima kumkumbuka mtu. Mara utasikia et bwana uliyempata anakudanganya.mwingine utasikia kasilize wimbo wa Vumi- utanikumbuka
Ndhani upo sahihi sanaHapo ndoa bado ipo sana, kwani kuachana huwezi kupata hata muda wa kuagana, mnafanya utani na kuachana eeeh.
pole, kuachwa ni shughuli pevu by Khaleed ChokoraaNdhani upo sahihi sana no time ya kuaga sijui nin yan kuachwa no mazungumzo maana ile hali mtu unayokuwa nayo lolol msinikumbushe unatamani kuhama dunia for a while..
Your not fair!inategemea mmeachanaje, me cjawahi kumuaga mtu,nahakikisha anajua kosa/kinachotuachanisha then i leave without a word