Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
i
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mkuuAnauza kwa jumla au rejareja?
Mchina uliyemtaja pazia na mauaNani mkuu
Wote niliowataja hapo wanauza reja pia. Mchina anaeuza pazia za mita moja na nusu anauza belo jumla tu ambaye anapatikana gogo na mchikichi. Anaepatikana swahili na mchikichi anauza rejaMchina uliyemtaja pazia na maua
Ujinga huu mzee, all the best maana yake nn?Kidogo namna hii umekimbilia kushtaki🤔
Unapaniki kwa vitu vya kawaida sana "all the best"ni open comment Haina ubayaUjinga huu mzee, all the best maana yake nn?
Kama uzi hauna cha kuongea na hauhitaji kushiriki unatuma all the best kwa faida ya nan?
Hili nalo mama aliangalie😂😂Itakua neno "All The Best" limezua tafrani
Hili nalo mama aliangalie[emoji23][emoji23]
Naam!Mtu ka mind kwa kusema kila la kheri. Watu wamevurugwa balaa