Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Vijana mnakwqma wapi kujiajir? Naona watu wanaogopa kuanza. Na machimbo nawapa bure kuna watu wanayauza haya! Mjadala bure.. vijana wa jf mpewe nn tena?Kalaga Baho Nongwa huna baya wa kwetu, nakukubali sana, ila huyu Lamomy atakuelewa tu uwe na subira. Tunashukuru sana kwa kutujuza.
Hongera ya nn mkuuHongera Mkuu
Hongera Mkuu kwa kutoa taarifa ya chimbo. Unaupiga mwingi, mpaka unamwagika.Hongera ya nn mkuu
Mkuu nitafutie chimbo la rim paper aina zote. Ukipata na bei zake itakuwa poa sanaVijana mnakwqma wapi kujiajir? Naona watu wanaogopa kuanza. Na machimbo nawapa bure kuna watu wanayauza haya! Mjadala bure.. vijana wa jf mpewe nn tena?
Mtaan vinauzwaje huko?Mh Bei nzuri Ila kwa vikombe mbona vya kawaida utauzaje ili upate na faida ?
Shusha machimbo zaidi shemeji
Duh! Kwan uko dar?Mkuu nitafutie chimbo la rim paper aina zote. Ukipata na bei zake itakuwa poa sana
Nimejichanganya kwenye idadi na Bei ,nisamehe bwana shida ni ulanzi na hili jua kaliMtaan vinauzwaje huko?
Na jua kali hili ulanzi utakukomaza sura mzee! Unakuwa kama Nikifa MkeWangu AsioleweNimejichanganya kwenye idadi na Bei ,nisamehe bwana shida ni ulanzi na hili jua kali
Kwa sasa sipo Dar mkuuDuh! Kwan uko dar?
Mana nilikuelekeza kabisa duka la kwenda pale. Hauna ndugu dar hapa nimpelekeKwa sasa sipo Dar mkuu
Kazi yangu bila kukomaa sura raia hawawezi niheshimuNa jua kali hili ulanzi utakukomaza sura mzee! Unakuwa kama Nikifa MkeWangu Asiolewe
We acha tu! Wewe jamaa uzidi kubarikiwa ingawa najua kuna watu wenye roho za choyo watakumaindi sana hadi kutamani kukuloga.Vijana mnakwqma wapi kujiajir? Naona watu wanaogopa kuanza. Na machimbo nawapa bure kuna watu wanayauza haya! Mjadala bure.. vijana wa jf mpewe nn tena?
Unakwepa mabomu sio?Kazi yangu bila kukomaa sura raia hawawezi niheshimu