gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Kuna wachina wengi Sana paleKuns hadi mawinga wa kichina kona zile
Mmoja nachati nae ni winga. Ana mikogo sana, wamepanga ile hoteli ya hongkong mule. Vyumba vingi ni waoKuna wachina wengi Sana pale
Nikuunganishe nn bidada? Kama unataka kununua nichek inbox kwa wewe wa mkoani. Wale wa dar waende tuniungishe namimi nipo chuga
SawaNikuunganishe nn bidada? Kama unataka kununua nichek inbox kwa wewe wa mkoani. Wale wa dar waende tu
ShukraniAsante kamanda! Kwa machimbo unayotuletea