Nakupa code; kwenye biashara yoyote ya delivery ukisikia sauti ya mzanzibari kimbia haraka

Duuh mkuu umeamua kujiharishia tu na kuondoka.
Jazia jazia nyama kidogo tujue kwa nini tusiwaamini hawa wenzetu kina yakhee
 
Wazanzibari si wezi mnapigwa ma watanganyika wenzenu wamejibanza tu hapo kariakoo wakijifanya wazanzibari. Wazanzibari wana sifa ya umalaya si wizi
Kweli wazanzibar siyo wezi, siyo matapeli kwenye biashara.
Hao watanganyika wenzetu.
Penye ukweli tuseme ukweli.
 
Nitatoa elimu , huyo jamaa wa chakechake darajani yuko Darhapo , watu wa ponzi schemes kama kalynda , mullar empire na wengine wako Dar tu , ni watu wa IT fresh so kuwa makini ..Pole sana kama umepigwa kishamba hivyo .
 
Nililogwa nikatoa advance ya TV miaka kama 6 nyuma, ila hawakuwa hata waZanzibar ni wahuni tu wanajifanya wapo zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…