Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hizo nongwa mzeeMtaani kwetu unapata kwa 20k hiyo raba.
American buti sio? Au nyie ndo mnovaa safety boot mtaan?Sisi wazee wa buti ngoja tupite hivi🚶♂️🚶♂️
Mtaani kwetu unapata kwa 20k hiyo raba.
bei ni tsh. Ngapi boss!wazee sina hiyana
Nashukuru kwa mirejesho n kukuwa kwa network. Siwez kuwaacha nyuma hata kidogo... Tuko pamoja
Raba hii hapo chini bei ya jumla ni elf 40 zinakaa pea 24, ukitaka kuanzia tano ni elf 48 na moja ni 55 tu.
Bei ya chimboView attachment 3130917View attachment 3130917View attachment 3130918View attachment 3130920View attachment 3130920.... ningelitaja hapa ila naona nitaharibu biashara za watu
Karibu tujadili
Nimeainisha hapo juu.. kaka moja 55, tano ni 48 na katoni ni 48bei ni tsh. Ngapi boss!
Elf 20 hela mkuu lakin sio kwa raba hiyoWauzie wasanii kwa hiyo bei
Hiyo raba og ndiyo natoa 40 lakini hizo famba za kichina sitoi zaidi ya 20.
Let's renegotiate inbox brohNitafutie namba 42 Kwa rangi ya kwanza na hicho cha mwisho.
Naomba nilipie 100k Kwa pair mbili
Poa, karibuLet's renegotiate inbox broh
Pale kino 30 tu.Mtaani kwetu unapata kwa 20k hiyo raba.
Mbagala kwenyewe hiyo ni elf 6 mia tanoPale kino 30 tu.
acha uduanziMtaani kwetu unapata kwa 20k hiyo raba.
Kuna maduka karibu na njia panda ya magomeni na moroko.Mbagala kwenyewe hiyo ni elf 6 mia tano
Mzee wa codes, American Boot (Timberland) zinakwendaje bei ya chimbo?American buti sio? Au nyie ndo mnovaa safety boot mtaan?