Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea hasara ile kwako kwa 70%. Unasemaje
Habari wapendwa.
Kama una idea ya biashara yeyote, wewe njoo kwangu, nitakupa mtaji usio zidi 2 milions na faida itakayo patikana tutagawana, mimi nnachukua asilimia sabini na wewe utachukua zilizo baki.
Ninapatikana Mbeya, karibuni.
The highest risk should give the maximum profit, lazima uuelewe huu msemo, na kila biashara inarisk zake na always huwa hatulipi tatizo nafasi ya kwanza, zaidi ni asilimia ya tatizo kutokea.Ikitokea hasara ile kwako kwa 70%. Unasemaje