Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Acha kudanganya watu bwana ina maana tunapenda sana pesa kuliko mapenzi??? Mbona thread za wachaga zimekuwa nyingi nini tumekosea??
Jichunguze kwanza, alafu pigia mstari jibuAcha kudanganya watu bwana ina maana tunapenda sana pesa kuliko mapenzi??? Mbona thread za wachaga zimekuwa nyingi nini tumekosea??
Jichunguze kwanza, alafu pigia mstari jibu
Na wewe mwenyewe wa Milimani Rombo, Kilema?
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.

Tofauti kati ya kona bar na uchagani ni quality. Mtoto wa kichaga kakulia kwa mtori, maziwa ya ngombe, skin nyororo. Wengi uwa wa ukwelidu ishu kama kula mzigo si bora niende kona bar, nahonga mara moja nakula mzigo chini ya professional
Mweekee bajeti ya kiasi cha pesa, muonge mara ya kwanza, ya pili, ya tatu mpaka ya tano. Mara ya sita omba mzigo. Walahii Aruki!!! Ukiingia kwa sound, mtafika kigoma kwa treni na kurudi hata safari mia, akuelewi. Hawa awana moyo wa kupenda, maslai kwanza.
Kwetu kule "Useri" Karibu na ile shule ya sekondari
Hiyo ilikuwa zamani za Pontio Pilato! Siku hizi mbona nao siku ya kwanza tu mswanu tu bana
Hahahaaa!!!!!!! Mkuu Sokwe niambie na wagogo vipi???
Mwenye masikio na asikie na asiyeamini nitakalosema afanye utafiti, akishindwa anitafute;
DAWA YA AKINA DADA WA KICHAGA NI WANAUME/WAKAKA WA KISUKUMA.
Wasandawe wameubwa na moyo wa upendo kama wabantu wengi walivyo.Mkuu nahisi kama ume-generalize sana na matokeo yake utafanya watu wataka-universalise principle yako chamoto watakiona maana hawa watu huwa wanamsimamo balaa. Nakumbuka kabla ya kuoa kuna mchaga mmoja nilimfuatilia alinitoa mkuku na panga, haelewi cha pesa wala nini..........
Ila bora hawa wanaokusumbua mpaka uchimbuke mifukoni. Wasandawe noma...hata kama hujaingia mfukoni ukimwambia uko tayari kuingia mfukoni...hata kama mfuko mweupe...yuko tayari
Dena poleni naona toka mwisho wa mwaka jana jamaa wamewakalia kooni mbaya