Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

Eeeewaaaaaaa............dada zake Biggie wanapendwa saaaaaaaanaaaaa! ndo maana hawatoki midomoni kwao......🙂

sawa tu...wana wish wangetupata coz wana hakika hawatalala njaa na huduma kede kede....bad lucky!
 
Sasa kwa taarifa yenu hao wanawake wa kichagga kwa sasa ndo wako juu kwa kila ki2. Wale mliokuwa mnawasifia oooh binti wa kixxxxx hakuna ki2 cku hizi. Wamevimba vichwa hawana market cku hizi. Kwanza hawaogi.Wachagga wana sifa ya usafi. Mwanamke mazingira babueee
 
Wachaga hoyeeeeeee!! Kakakiiza mambo vipi, Unataka kuoa au umeoa mchagga?? Tunashukuru kwa sababu unatupenda, nijibu hayo maswali kwanza, Halafu nitakuambia huwa tunataka nini hasa kwako!!
Sina pesa zakuoa mchaga wala sina Duka!
aika meku....
Kwanza mimi na Preta wangu!!
Tunapenda mapenzi ya kweli..kujaliwa na kuheshimiwa..kama wengine tu!Ila vilaza ndo hawatakikani maana hata ukijaribu kupiga picha future yenu itakuaje unapata BLANK!Swali kwako..HIVI HAMCHOKI KUTUJADILI?[/QUOTE]

gud gal.

angepata bahat ya kuoa mchaga angeringa hata humu asingeingia. Nafikiri yupo kwenye mchakato wa kutafuta mchaga!
Wachaga Wakumwaga ila kwakuwa nipo comtd na Preta kiranga cha wachaga sina pole yenu!!Anaye ona na maonezi zaidi PM ila Preta asijue!!Sharti lakwanza mengine yataendelea......
 
Umeanza vibaya kweli mbna Preta mwenyewe mchagga!Umeshaonyesha huna ubavu wa kua na mchagga na hiyo ndo bye bye yako!
 
 
mguse kunako uone kama ujapata vyote uukiskia tu "Yesu na mariaaa" ujue penyewe, ushikilie hapo hapo kama sio kuziongeza mpk .....:faint:
 
nafurahi wanawake wa kichaga wakijadiliwa.wanajiamini na hawategemei mwanaume hata kidogo!upoo!so kubembeleza penzi hapana taka!
 
mmmh humu ndani wachaga wengi! but mama aliniambia nisioe wachage sijui why? THANK U MAMA I WILL KEEP THE PROMISE!
 
Dada zangu tena dah ..........!!!
Napita tu..:car:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…