Ngwaru Ndiavilema
Member
- Sep 26, 2016
- 68
- 51
Nilalapo hujilaza ndani ya kifua chako niamkapo huamkia ndani ya mwili wako. Joto lako la mpnz nimeshare hats sioni mwingine. Hakika wewe sikuachi wala kukusaliti. Nasikia tu kuwa mpnz yanaumiza kwako siijui chungu hii. U mpenda amani upendo na mshikamano. Daima umekuwa nguzo yangu na msaada kila ninapokuhitaji. Naahidi nitakurinda na kukutunza kutoka ndani ya moyo wangu nathubutu kusema nakupenda sana. My dearest. Unipae usingizi. TANZANIA nchi yangu, wewe no mpnz wa kweli kwangu. Asante kwa kunipenda. Nakupenda pia.