Nakupenda (I love You)...

Nakupenda (I love You)...

Charge

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
91
Reaction score
160
Niko bed nimechill baada kula puff kazaa za joint OG.

Stimu zinakuja sijajua nin kimenifanya nitake kukumbuka mtu wa kwanza kumpenda na mtu mtu wa kwanza kumtamkia neno i love make naamini kuna baadhi ya watu hao ni watu wawili tofauti mimi nikiwa miongoni mwao.

Simkumbuki mtu wa kwanza kumwambia i love u lakn nakumbuka mtu kwa kwanza kumpenda nilishindwa kumwambia jinsi nilikua nafeel juu ake.

It's where the real shit took me today, beautiful joint.
 
Back
Top Bottom