Mkuu Jana ulipigwa ban ya masaa mawili au?Hii ni ngori, juuusaliti ni ile kitu Maya mazee.
Yeah, niliomba mods wanipumzishe kidogo.Mkuu Jana ulipigwa ban ya masaa mawili au?
Ok, nilijua upo kwenye chain na yule dogo wa efu 20 gunnaYeah, niliomba mods wanipumzishe kidogo.
Hapana mkuu.Ok, nilijua upo kwenye chain na yule dogo wa efu 20 gunna
Kuna watu ni majangili alloow! kuna mda unaweza jiona mdhambi ila kunasehemu inafika unanyoosha mikono juu mpaka mtu anachkua kisu au panga anachinja binadamu mwenzi anakuwa ameingiliwa na kitu gani naamini sio akili ya kawaida hiyo.Hayo ndiyo maneno yaliyoandikwa ukutani na Walter Kipkoech, mwenye umri wa miaka 23, ambaye ni mshukiwa wa mauaji. Aliandika ujumbe huo kwa kutumia damu ya mpenzi wake wa miaka 18, Joy Wangui, ambaye alikuwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne.
Walter anadaiwa kumuua kikatili na kumkata kichwa Joy baada ya kumshuku kuwa alikuwa akimsaliti kimapenzi, kabla ya kutoroka katika eneo la tukio.
Kwa mujibu wa Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Kenya (DCI), mwili wa Joy ulipatikana ukiwa umelala ndani ya dimbwi la damu jikoni, huku kichwa chake kikigunduliwa kwenye korido karibu na bafu.
Baada ya operesheni ya pamoja iliyofanywa na wapelelezi pamoja na Crime Research and Intelligence Bureau, Kipkoech alikamatwa siku ya leo, Oktoba 6, 2026, kwenye maficho yake katika kijiji cha Lagwenda, huko Kuresoi North.
Kwa sasa anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Molo .ππππ
View attachment 3685200
Mapenzi +mental health issues ni kama maji na mafutaKuna watu ni majangili alloow! kuna mda unaweza jiona mdhambi ila kunasehemu inafika unanyoosha mikono juu mpaka mtu anachkua kisu au panga anachinja binadamu mwenzi anakuwa ameingiliwa na kitu gani naamini sio akili ya kawaida hiyo.
Nowadays hii imekuwa common nadhani wizara hisika inabidi iwe na zile psychology centers ambapo watu wanakutana nakutoa ya moyoni.Mapenzi +mental health issues ni kama maji na mafuta
Kiukweli wizara husika ingewekeza hasa kwa kuwaongelesha wanafunzi wa secondary na vyuoni kama sehemu ya counseling ingesaidia sana yaaniNowadays hii imekuwa common nadhani wizara hisika inabidi iwe na zile psychology centers ambapo watu wanakutana nakutoa ya moyoni.
Naona wanafanya sana mablack Americans na inawasaidia