Nakupenda Kritika

The Common

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
37
Reaction score
172
Nakuja mbele yenu wana-MMU kutangaza wazi kabisa kwamba nampenda huyu mrembo wa kuitwa kritika . Kilichonivutia kwake
Japo nimeoa, naahidi kukupenda katika shida na raha, utamu na uchungu, ups na downs zooote.
Msishangae kuona nimeoa halafu namtongoza kritika , mwenzangu amepitia machungu mengi kama nilivyopitia mimi.

Kilichofanya nikaja mbele yenu wana MMU kutangaza nampenda kritika ni hiki hapa chini👇.

 
imsitujazie server,Mods futa huu upotolo..umelenga kumdhalilisha member (Character assasination),hapa unajuaje huyo kritika ameamua kuvaa tu uhusia na labda ni mke wa mtu mwenye watoto???....

Umekuwa msemaje wake? Love doesnt ask why, huo uhusika aliovaa ndio niliompendea. Mambo ya kuolewa na kuwa na watoto subiri aje ajibu mwenyewe, usimsemee.
 
imsitujazie server,Mods futa huu upotolo..umelenga kumdhalilisha member (Character assasination),hapa unajuaje huyo kritika ameamua kuvaa tu uhusia na labda ni mke wa mtu mwenye watoto???....
Unapenda Sana kuwa Command Ma'mods kila leo wewe ni kutoa tuu Order Mara futa hiki, Mara fanya kile as if wao hawajui kazi yao

Hata Huyo KITIRIKA mwenyewe haja Comment chochote wewe ushakuja Na Character Assasination zako

Imagine KITIRIKA anakuja alaf na yeye aseme anampenda pia THE COMMON, Hivi utajiskiaje Madame Navaa viatu vyako havinitoshI [emoji3][emoji3][emoji3]??
 
Unaijua historia yake lakini?
 

Mnhhhhh again, Mods futa huu upotolo.....hata wewe ukitaka kudhalilishwa nitawaambia mods wafute,ni responsibility ya kila mwanajeiefu..kulinda wengine, as for mods, ni kweli ukiwaambia wafute wanaangalia contents kama zimelenga kumu harass mtu wanazifuta,na wao ni binadamu therefore inapaswa kuwakumbusha, mwisho unaweza kuniweka kwenye ignore list, kama hufagilii ninachoandika.bye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…