Mwanawalwa
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,014
- 300
Mwanamke ambae una mpango wa kumwoa unashindwa kumshawishi akupe? That's bigest weakenes! That means, mpaka sasa hujaweza kumfanya akuamini! Jipange upya!
mi sikubaliani na wewe Paty kwasababu"IF ONE ROOM CAN BE OPENNED BY MANY KEYS NO ONE WOULD WANT TO KEEP ANYTHING IN THAT ROOM YOU GAT ME" ASA AKIMPA AFU JAMAA AKASEPA INAKUWA IMEKAA VIBAYA , KAMA JAMAA KAFALL KWA HUYO MDADA ASUBIRI TU AU AMUOE TU ATAMPA 24/7kimbia kimbia , yaani ukiona anaujasiri wa kusema hapana kwako, ujue kwa mwingine anavua Chupi bia hata kuombwa, wanawake wasanii yaani kama machinga vile, akikuona wewe dhaifu anaku treat that way , angekuwa bikra labda, ila chombo imetumika alafu bado analeta ngumu , Aiseee hiyo haikubaliki kabisa, mzeee kama akigoma kabisa bora uangalie ustarabu wako sehemu nyingine
Mkuu tafwazariiiiii..... wanasheria wanasema hivi.... A BUYER MUST BE AWARE. kwa hali ya sasa huwezi kuingia mkenge kuoa mtu bila kujaribu kujua kunanini..! Vinginevyo labda kama una risk take mwisho wa siku ukute mbichi au mbivu mkuu. Mbona wengine huwa wanazikimbia kwa kutoamini walichokikuta ni bora ujue mapema kabla hujaingia mkenge mkuu.
Haswa umeona.Bora wadada wameshtuka, mmezoea kuwachezea tu mwisho wa siku mnawaacha kwenye mataa, hadi wengine wanajutia kuumbwa wanawake!
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
mito ma bro unaakili sana. Mimi bado namuuliza huyu mkaka hivi mwanamke ni kitu gani kwako? yaani hadi umvue ndipo uone raha? hivi kwanini msivumiliane hadi siku ya ndoa? binafsi sitaki kufunguka sana hapa manake utasema nime kukaripia.Bora wadada wameshtuka, mmezoea kuwachezea tu mwisho wa siku mnawaacha kwenye mataa, hadi wengine wanajutia kuumbwa wanawake!
upuuzi mtupu,tena huyo kashaliwa hata tigo lakini eti sikupi mwili pumbav kabisa!
yaelekea kuna baadhi ya mijianaume kama wewe ina poor mental attitude ya kutaka kujaribu kwani bahati nasibu hiyo mijianaume mingine zipu nje nje khaa
Wanaume tumetofautiana maisha tuliopitia before. Na hayo maisha ndio yanayoweza kukufanya uwe unaamini kirahisirahisi au ukawa mchunguzi kabla ya kuamini. Sifahamu network yako ya marafiki ni kubwa kiasi gani,hii inaweza ikasaidia kwa uchunguzi na sio tu kwa kukuletea habari tu,ila kwa kukupeleka kisirisiri sehemu ya matukio ukaona mwenyewe ukweli huyo dada ni wa aina gani. Mara nyingi ukiona mwanamke anakueleza maneno ambayo ni kitendawili ujue ame-under-estimate uwezo wako wa kuelewa. Mara nyingi wanawake wa aina hiyo huwa wao ndio wanabembeleza wanaume wengine ambao wanawaona/wanadhani ni babu kubwa.Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
mkuu si kwakua na hiyo tigo ulimla wewe?
Jamani wanawake tumechoka sasa na kashfa na matusi yenu kwetu. Leo binti keshajua alikosea kurushwa maji pasi focus kaamua kuacha hiyo tabia bado mnamzodoa eti hata ya nyuma hana. hivi niwaulize maswali wangapi hapa ni wakaka tukipima marinda tutayakuta? ama ni kwakua sisi huwa hatuyasemi haya? tunajua kabisa sio wanaume wote wana marinda walikoyapeleka wapi? mbona sisi hatuwavunjii heshima kiasi hicho?
sasa natamani kweli mdada aje na mada kuwa mpenzi wake hana marinda hapa tuone mtasemaje na tutaanzisha darasa la ukaguzi yanatakiwa yawe 96 vileee sasa ole wa youle tutakayokuta 40 ama hata 89 tu utasema moja umepekleka wapi. tumechoka bwana msitudhalilishe.
Si yeye peke yake mwenye K.
Kama anakubania K yake tafuta K nyingine uwe unamega.
Ni hivyo tu.
Toba!!!!!Sidhani kama kuna binti wa aina hii!
Salaaale!!!!!!uskubali huo ujinga..
Hili nalo neno!!!kimbia kimbia , yaani ukiona anaujasiri wa kusema hapana kwako, ujue kwa mwingine anavua Chupi bia hata kuombwa, wanawake wasanii yaani kama machinga vile, akikuona wewe dhaifu anaku treat that way , angekuwa bikra labda, ila chombo imetumika alafu bado analeta ngumu , Aiseee hiyo haikubaliki kabisa, mzeee kama akigoma kabisa bora uangalie ustarabu wako sehemu nyingine
Bora wadada wameshtuka, mmezoea kuwachezea tu mwisho wa siku mnawaacha kwenye mataa, hadi wengine wanajutia kuumbwa wanawake!
Sasa wewe hisia zako utazipeleka wapi?
Jaribu kumuelewesha isije ikawa wengine wanapewa alaf wewe usubiri mpaka siku yandoa, kataaa!
Kama siyo bikira na wewe una haki ya kuonja kama wengine walivyo onja kabla ya ndoa!
Usikubali kila kitu kisa mtu kakwambia mtafunga ndoa, labda kama ndoa hiyo ni wiki hii.
Tatizo wewe hisia zako na midadi utavipeleka wapi? Hapo sioni faida yake!