Nakupenda lakini sikupi mwili wangu hadi unioe.

ameona nawe ni wale wale bora akupe swali uchague jibu mwenyewe
 
ukigawa afu akiacha anakutangaza kuwa wewe ni ma.la.ya. kama umeweza kunigawia it means unaweza kumgawia na mwingine pia..... ukibana napo inaletwa jf duh!!!!!!!!!! jooooooooob true true........
 
Hivi mtu akikuonja hasara ni kwako tu. Yeye haimuhusu. Mi ndio huwa nashangazwa na mabinti, Eti umenichezea!!!. Sema tumechezeana.

Sasa mbona unaenda nje ya hoja?hiyo nayo unaanzisha ni topic nyingine kabisa inayohitaji thread yake..anyway ngoja nikuache.......
 
Mbona rahisi sana, ukishatangaza uchumba tu hapo kwishney, hapo ndio hua nawachukia sana dada zangu, all they want to hear from you ni kwamba NIAKUOA then kuanzia hapo anahamia kwako, anakufulia, anajisahau kabisa. Kama huamini jaribu utaona.

Ujumbe: Dada zetu (baadhi) kuweni na msimamo japo kidogo basi ili kulinda heshima na utu wenu
 
ukigawa afu akiacha anakutangaza kuwa wewe ni ma.la.ya. kama umeweza kunigawia it means unaweza kumgawia na mwingine pia..... ukibana napo inaletwa jf duh!!!!!!!!!! jooooooooob true true........

Huyo atakuwa si mwanaume. atakuwa ni Gube gube.
 


Shabash! Huyo ndie your mke wako to be!
 
Shabash! Huyo ndie your mke wako to be!

Aaah wapi...not necessarily. Anaweza akawa anakubania wewe huku pembeni ana wengine wanaommega na wewe ukabaki na taswira ya kwamba yeye ni mgumu kutoa kumbe ni usanii tu.. Haya mambo hayafuati kanuni ndugu Ngekewa.
 
Aaah wapi...not necessarily. Anaweza akawa anakubania wewe huku pembeni ana wengine wanaommega. Haya mambo hayafuati kanuni ndugu Ngekewa.

Ndowa ni kuaminiana na usipomuamini sasa hapana haja ya kumuowa! Chombo kinachotumiwa na kisichotumiwa haviwezi kuwa sawa nawe utabaini wakati wa ndowa.Ikiwa anatumiwa atataka tu akuonyeshe maufundi ili uzidi kumpenda (jambo ambalo dada zetu huwa wanafanya kosa kubwa)
Halafu Nyani Ngabu utawezaje kuamuwa kufunga ndowa na mtu bila ya kumchunguza? Na jee ikiwa anakupa wewe hujali hata akienda kwa mwengine mradi tu wewe unapata? Vijana wa siku hizi mahusiano yenu ni kizungumkuti.
 

Ndoa ni zaidi ya kuaminiana. Na msingi wa uaminifu ni uwazi na ukweli. Pasipo na uwazi na ukweli uaminifu utakuwa hatihati.
 
Ndoa ni zaidi ya kuaminiana. Na msingi wa uaminifu ni uwazi na ukweli. Pasipo na uwazi na ukweli uaminifu utakuwa hatihati.

Vitu ambavyo msichana amevionyesha. Si ameungama kuwa tayari alikosea na kosa lilimugharimu na kuamuwa kutorejea tena!
 
Huyo aliingia kwa gia ya kumuoa ili aonje, ndio maana nimesema hata akiamua asimuoe kisa kanyimwa mdada anaweza asijali sana.

Kuna mbeba box mmoja marinda yameisha wamemkimbia anahaha kweli

marinda n kitu gan? Jarbu kuwa muwaz.
 
With due respect and apology, marinda ni kitu gani? Hujambo?

sijambo kabisa, kumbe si wewe peke yako nimekushika msome mwenzio hapa chini.

Please mtoa mada nifahamishe mwenzio sijapitia unyago, hivi marinda ni nini, maana nisije siku nikaumbuka na mimi kwa kutokuwa na marinda wakati labda kuna njia za kuyarudisha hata kama ni za kichina china

pole aisee. sasa ngoja niwaitie kungwi msaidizi cacico aje awafunde nini maana ya marinda. Angalizo yapo 96.chini ya hapo kwishneyy.
 
Last edited by a moderator:


Mimi ni mgeni kidogo kweny haya mambo. Naomba unijuze marinda ni nini na yanapatikana/onekana wapi.
Msinicheke jamani ila nataka kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…