With due respect and apology, marinda ni kitu gani? Hujambo?
Please mtoa mada nifahamishe mwenzio sijapitia unyago, hivi marinda ni nini, maana nisije siku nikaumbuka na mimi kwa kutokuwa na marinda wakati labda kuna njia za kuyarudisha hata kama ni za kichina china
Mimi ni mgeni kidogo kweny haya mambo. Naomba unijuze marinda ni nini na yanapatikana/onekana wapi.
Msinicheke jamani ila nataka kujua
Huyo atakuwa si mwanaume. atakuwa ni Gube gube.
Hii mada inahusika sana... Ila hata mie kuolewa na mwanaume sijamjua kwanza.. Akhaaaa sitaki.. Mfike ndani ya nyumba ukute kumbe jogoo hapandi mtungi.. Utalia na nani?? Ukizingatia wengine ndoa zetu za kikristo kuachana mpaka KIFO kiwatenganishe..!
Muoe ujilie vyako.
Eti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
sasa mamie,ukimpa akakushit utawapa wangapi?
YUPO VERY VERY RIGHT........AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA ANAFANYA JAMBO LINALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE. ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA. MITHALI 6:32-33. Acha tamaa za mwili muoe if have true love with her. come onEti wadau tujuzane, hivi mambo kama haya bado yapo?
Nimempata mdada mmoja lakini anadai simvui hadi nimwoe, siku ya harusi ndo ataanza kutoa.
Kakiri kuwa yeye sio bikra lakini anadai hataki kufanya aliyofanya nyuma. Naona kama ananizingua vile. Wadau nahitaji ushauri wenu.
Nawasilisha!!!!!!!
YUPO VERY VERY RIGHT........AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA ANAFANYA JAMBO LINALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE. ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA. MITHALI 6:32-33. Acha tamaa za mwili muoe if have true love with her. come on
Ni bora nimpe nimjue kuliko hasara ya kuingia ndani ndo unakuta kama hivyo jogoo hapandi mtungi au unakuta ana function vizuri tatizo linakuwa saizi ya dushelele... Khaaa... Unaweza ukakuta dushelele kubwa kama nanilihii... Loh.. Utalia na nani bibie na ndio mmeo huyo.. Sasa hayo si ni mateso jamani! Lazima u test ujue kama mnaweza kwenda sambamba... Na mpaka nafikia uamuzi wa kumpa nakuwa nimejiridhisha na baadhi ya vitu sikurupuki tuu..

Sasa kama unaona ni deal sana kutest si umuombe akuoneshe kama size unataka???!!!kwani lazima m-do???
Kubali kataaa ku test muhimu... Isitoshe wanaume wengi siku hizi wanajidai wanajua sound kumbe jogoo hawiki..Lol.
nipe na mimi baaaasiii