Sasa mbona rate ya ndoa zinazovunjika au zisizo na amani ni kubwa kuliko zamani ambapo walikuwa hawatest?
Ni basi tu kufuata kasumba...Mkipendana kweli kila kitu huwa kinajipa.
Hujanielewa..my question was ni kweli kutest kunafanya ndoa zidumu?Wewe umeolewa unakuta dushelele kama kichwa cha mtoto mchanga, hiyo ndoa utaiweza?? Au ukute jamaa jogoo hawiki utakaa kwenye hiyo ndoa?? Kinachofanya ndoa zivunjike ni mambo mengi ndugu yangu si kwamba eti zinavunjika kwa sababu walionjana kabla..
Wewe umeolewa unakuta dushelele kama kichwa cha mtoto mchanga, hiyo ndoa utaiweza?? Au ukute jamaa jogoo hawiki utakaa kwenye hiyo ndoa?? Kinachofanya ndoa zivunjike ni mambo mengi ndugu yangu si kwamba eti zinavunjika kwa sababu walionjana kabla..
Sasa ukija kuoa na ukakuta bikira zote mbili hakuna hapo vipi?
Acha kuongopa, sababu zote ulizotoa hazina mashiko! Jiulize maswali- wanawake wanaoweza zamisha chupa za soda na bia kwenye nyuchi zao na TiGo wanawezaje? Au mwanamke anapozaa kwa njia ya kawaida mtoto anatokea wapi?
Mtu akisema hatoi mpaka ndoa haina maana kuwa ni virgin ingwa hiyo ni moja ya plausible explanation...Inawezekana ameshachezewa sana kaona habadilishe strategy kwani ameona kutoa hakusaidii...Ameshaumwa na nyoka akiona mjusi anashtuka.
Kutest ni muhimu kwa wote wawili...sio kuja kukimbiana usiku wa harusi...
Hivi kwani mtu akishakuwa kwenye ndoa hawezi kuchezewa? Hebu imagine mpo kwenye ndoa na mumeo ama mke anafanya matusi nje ya ndoa yenu....kuna tofauti gani hapo?
Ni muhimu kupita maelezo. Mambo ya buyer's remorse hayahusiki kabisa.
Hata kwenye ndoa watu wanacheza na kuchezewa...Lakini suala hapa wadada wa hivyo wanataka ndoa...kitakachofuata baada ya ndoa hakiwahusu kwa sasa...Ndio maana nikasem blackmailers hawa..."kama unataka mchezo basi nioe" siyo blackmail ni nini?
Ukisoma vizuri nini nimekiandika nadhani utakuwa umeshajipa jibu mwenyewe.... Nitakapoona nimeridhika na mambo flani flani ndio natoa..UMENIELEWA??
Kwani kuna shida nyingine zaidi ya hiyo..., sababu pekee(kuu) ya kumtongoza mwanamke ni hiyo, nyingine unazozijua/ambiwa ni escorts tu za sababu kuu.Ukiona mwanaume amenyimwa k then akaanza kutapatapa kama wewe mtoa sredi basi ujue hana lengo zuri na wewe shida yake ni k only! Bora hata umenyimwa khaaaa!