CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kwa case ulozungumza wewe mi naona hayo maneno yana maana kubwa sana. Its good ukiwa na jamaa anayeweza ku declare publicly feelings zake kwako.
Ningechukia angesema "me too"
Mimi wa hivyo anakuwa keshaniloga walahi. Napenda kweli maneno matamu, hasa yakitamkwa adharani.
Hayatoshi chochote usidanganyikeee! Mimi niliwahi kudate na mtu anataka umwabie live kwenye simu nakupeda (umtaje jina) alafu umbusu hadharani, akanikuta master mwenyewe nimeshindikana, simu naweka silent! Nikiona simu yake naenda chooni, basi anaanza na demand zake ahh mi natekeleza, akiridhika nakata simu, huyo mdogomdogo narudi kuendeleza libeneke.
wadau, nimesema hivyo kwa sababu niliwahi kudate na mkaka flani. yan yeye alikuwa na wivu mpaka kero. kila anapopiga simu swali la kwanza upo wapi, unafanya nini. utamjibu kisha baada ya mazungumzo ananambia haya nambie hv "nakupenda sana mume wangu" while ni bf. mara nikiss,haijalishi upo sehemu gani,iwe kazini upo na wateja, iwe upo ofisi za watu ye atataka hayo yote. ukisita anasema namcheat. kiukweli tulishindwa kwa tabia hizo. . . ina maana hayo maneno yanamlinda mtu asi-cheat?????

Mu-hali gani wana MMU, mie hapa buheri wa afya,
Juzi kati nilikuwa maeneo flani, meza iliyofuata waliketi watu wanne. Kati yao walikuwa wanawake wawili na wanaume wawili. Ni watu wa makamo hivi. Mara moja wale wababa akapigiwa simu na mkewe, akapokea. nahisi mke alimuuliza uko wapi? mume akajibu nipo mahali flani na rafik yangu Evance na shemeji yani mke wa Evance. sijui mke alimwambia nini but mume akajibu "nakupenda sana mke wangu na akakata simu"
swali je hayo maneno yanatosha kukuridhisha kuwa mumen/mkeo yupo mahali salama???
wadau, nimesema hivyo kwa sababu niliwahi kudate na mkaka flani. yan yeye alikuwa na wivu mpaka kero. kila anapopiga simu swali la kwanza upo wapi, unafanya nini. utamjibu kisha baada ya mazungumzo ananambia haya nambie hv "nakupenda sana mume wangu" while ni bf. mara nikiss,haijalishi upo sehemu gani,iwe kazini upo na wateja, iwe upo ofisi za watu ye atataka hayo yote. ukisita anasema namcheat. kiukweli tulishindwa kwa tabia hizo. . .
ina maana hayo maneno yanamlinda mtu asi-cheat?????
kuna ukweli red line japo siyo muda wote, wivu ni tabia mtu na penye upendo wa kweli wivu unahusika, kama ilivyo kwa gari yako uipendavyo vile
yanamuhakikishia mtu kuwa kwa wakati wowote na muda wowote akikuambia uyaseme unayasema,uwezekano wa ku cheat ni mdogo na kama una cheat basi aliye pembeni yako kwa wakati huo yaani mwizi ajijue yeye ni mwizi tu,yupo mmiliki halali!na ni maneno ya kawaida kutumika ktk mahusiano ya ndoa,mimi huwa naamini hata kama mume anataka kuiba kwa wakati ule anapoyatamka,kwanza yanaweza kumkera hawara aliyenae,na pia yanamrejeshea fahamu mume /mke ya kukumbuka anachotaka kufanya ni dhambi!