nakupenda mume / mke wangu

Na unaweza kumkamata cheater kwa maneno tu...ukianzisha dirty discussion kwenye simu afu yeye yuko na mtu pembeni lazima ajione mdogo na aume ume maneno.

Mi napenda huo utamaduni aisee...it makes me feel confident.


Dirty discussion lol
 
ni bora sana kuliko mimi pia au angesema asante
 
nyumba kubwa na CUTE Me nafikiri kuna mahali pa kujiachia na mahali pa kutojiachia. imagine upo kazini / katika biashara zako umezungukwa na watu mara mumeo anakupigia mnazungumza then mwisho wa maongezi anakwambia nakupenda mke wangu je utaweza kumjibu vivyo hivyo? je ni sawa ama mimi ndio nakosea?
 
Last edited by a moderator:
mmmh, uchakachuzi na maneno haya hadharani wal hayahusu.

Ukikutana na gwiji, utaimba heleluya!
 
Mobile phones ni janga la dunia!!! Limeua familia, ndoa, mahusiano mengine, wizi and all evils/crimes you can think of. Mwingine alikuwa Cine Club na kidosho halafu mke akapifa akamwambia niko Tegeta!!!
 
Kwani ukimwambia kuna tatizo gani? Unaogopa watu watakufikiriaje?Au wewe mwenyewe hutaki kukubali hilo mbele ya watu?
 
Last edited by a moderator:
Umeona. eeh

Kumwambia mtu nakupenda sana kwenye simu kuna ugumu au uzito gani? Asojua kama karibu kila mtu ana mpenzi nani? Cha hajabu kitu gani?

Kama nimeweza kupokea simu niko huru kuongea chochote. Nasema kuweza kupokea simu kwa maana kuwa kama kuna kikao labda na maboss ni obvious siwezi kuongelea mapenzi kwa kuwa siwezi kupokea simu at first place.

Lakini kama nimeweza kupokea...najiachia tu mradi situkani mtu (in case kuna mwenye interest ya kufuatilia mazungumzo yangu).

Neno kupenda mbona ni simple sana. Mimi mbona hata wanangu nikiongea nao kwenye simu lazima niwaambie nawapenda...sasa kama kuna anayeshangaa itabidi anizoee tu.


Kwani ukimwambia kuna tatizo gani? Unaogopa watu watakufikiriaje?Au wewe mwenyewe hutaki kukubali hilo mbele ya watu?
 
Hapo kwenye bold ni kuwa unakosea sana. Utakuwa unampa wakati mgumu mpezio kama akikwambia nakupenda jibu linategemea uko na nani. Je unaona aibu jamii kujua kuwa unampenda mumeo? Why? Je unampenda kweli?

Unajua kuna couples ambazo kila mtu anaona aibu kuongozana na mwenzie; nini kusema nakupenda. Je wewe ni mmoja wao? If not say it; make him proud; make him feel you are also proud of him!

 
Mi napenda sana mtu anayeonyesha upendo kwa mpenzie...si kulalamika tuuu.

Yani huwa nafurahi utadhani nimependwa mie.

Niliwahi kuwa na ofisi mate mmoja wife wake alikuwa anamletea lunch mumewe ofisini...it was so sweet. Na huyu jamaa ukisikia anavyomsifia wife utapenda...sa ingine napewa kuonja mapishi ya mamaa...utasikia ukiwa na muda njo wife akufundishe kupika. hapo umesifia msosi.

Wanaume wa hivi ni wachache sana these days. wengi wanaona ku show love ni udhaifu.

Yule baba ilikuwa siku haiishi hajamuongelea wife wake (positively of course).

Hata watoto wa familia kama hizi watakuwa replica ya wazazi wao...si kama vijana wa humu JF wanaoogopa ndoa. Lol.

 
Na unaweza kumkamata cheater kwa maneno tu...ukianzisha dirty discussion kwenye simu afu yeye yuko na mtu pembeni lazima ajione mdogo na aume ume maneno.

Mi napenda huo utamaduni aisee...it makes me feel confident.

ni utamaduni mzuri sana.
 

ukitaka kuijachia na maamuzi tu. Inabidi uwe na confidence na mwenzi wako.. as long as ni wa halali. Ugumu uko wapi kusema NAKUPENDA mume/mke wangu. La muhimu isiwe umekwamisha huduma flani mfano ktk eneo la kazi watakushangaaa... but mpo tu mnazungumza au hakuna committment yoyote kubwa.. aaaaaa nasema bwana kwani BEI GANIIIII????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…