Hapa ndo pale unapoangalia tafsiri ya Mapenzi.... Ya kweli na dhati pia... Kwamba kumjali mwenzio no matter what or yupo vipi.... BUT then narudi nyuma na kujiuliza... huyo mwanamke anapokua na huyo mwanaume ambae ni dhahiri hamridhishi... Je ni ruksa kutoka nje na asiwe judged?? Je sababu the guy is made that way kama mkewe anaridhishwa nje atakubali tu na kuridhia.... Kwamba roho yake sio nyama.... Kwamba because he is big basi roho yake nayo ni that Big....
Nikirudi kwenye picha... kuacha kupamba maneno na kuonekana ni wema... Hio hali ni mbaya kwa kweli... Ndio waweza kuta the guy was normal before ndo akaja kua hivo... ofcoz siwezi kumkimbia for sasa hio sio overweight tena ni ugonjwa... swali inakua kua I as a Woman.... Will i be freely allowed by the man nipate mahitaji ya Sex nje?? yaani kazi kweli kweli....