Nakupenda sana yna2

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Nikisemaa Nakupenda sidhani kama nitakuwa nimekosea,moyo wangu wote unawaza kuhusu wewe,kila tone ya pumzi yangu inayotoka inatoka kwa mapigo ya kutamka jina lako zuri,

yna2 unajua mapenzi yalivyo mwili unaleta tamaa na tamaa inaleta upendo ndani ya moyo ,

Vile ulivyoumbika kuanzia mguu wa Dompo,hipsi za beraile,zigo la kuvunja chaga,kiuno makinikia mwenzako niko hoi niruhusu nijenge kibanda,

yna2 nina mengi sana ya kuongea lakini Sitaweza kuyamaliza nikisema niyatamke ,haya machache yanatosha japo utaona hayana maana kwako.

I love u yna2

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…